Thursday, January 5, 2012

Mgomo chuo kikuu cha Dodoma waisha.

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma,kitengo cha sanaa na elimu ambao hivi karibuni waligoma kushinikiza  kupatiwa fedha za kujikimu hatimaye wamemaliza mgomo wao jana,wanafunzi hao waligoma kushiniZa bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HELSB),wamerudi madarasani baada ya Bodi hiyo kuahidi kuwalipa Ijumaa kwa mujibu wa mwenyekiti wa harakati za kudai fedha za kujikimu Rafiki Rufingo.

No comments:

Post a Comment