Welcome to my academic blog where you will find all that concern Mass Communication Perspective in Education, College entertainment and trends
Monday, January 30, 2012
''Hayawi hayawi sasa yamekua,walisema hamuoi sasa kamuoa''ni baaadhi ya maneno yaliyokuwa yakisikika katika nyimbo zilizokua zikiimbwa na wageni waalikwa,katika sikukuu kwa Bwana Darius Mukiza amabae ni mwalimu katika chuo kikuu cha Tumaini Dar es salaa na Bi Alfredina Felix.walipoamua kuachana na ukapera na kuwa wanandoa siku ya Jumamosi tarehe 21January 2012 katika kanisa kuu la mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam,ndoa hiyo ilifuatiwa na sherehe ya kukata na shoka kwenye ukumbi wa Holand Msimbazi Center.kwa niaba ya wanafunzi wa mwaka wa tatu waingiao jioni ningependa kumtakia Bwana Darius Mukiza na mkewe ndoa yenye furaha na amani tele.
Thursday, January 5, 2012
Mgomo chuo kikuu cha Dodoma waisha.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma,kitengo cha sanaa na elimu ambao hivi karibuni waligoma kushinikiza kupatiwa fedha za kujikimu hatimaye wamemaliza mgomo wao jana,wanafunzi hao waligoma kushiniZa bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HELSB),wamerudi madarasani baada ya Bodi hiyo kuahidi kuwalipa Ijumaa kwa mujibu wa mwenyekiti wa harakati za kudai fedha za kujikimu Rafiki Rufingo.
Subscribe to:
Posts (Atom)